Saturday, May 26, 2012

Dont Losse the Purpose of God into Your Life

Watu wengi wamepoteza muda,wamepoteza rasilimali nyingi,wamepoteza marafiki...utagundua msingi mkubwa ni kwa sababu wamepoteza mwelekeo wa kutembea katika kusudi la Mungu.
Zipo faida nyingi sana kwa mtu aliyegundua makusudi ya kuumbwa kwake na kisha akatembea katika kusudi hilo.Hayo yalisemwa na Mch.Matthew Sasali alipokuwa akihudumu katika kanisa la JORAI mjini Mbeya hivi karibuni.
Alisema chache kati ya faida hizo ni;Maisha kurahisishwa maana hufanya kile alichoumbwa kwacho,Kupunguza mikwaruzano na watu wengine,kupata mafanikio mengi tena kwa njia nyepesi...
Swali kubwa lilikuwa mtu anawezaje kugundua makusudi ya Mungu katika maisha yake.
Mchungaji akifafanua alisema...ramani nzima ya maisha ya mtu iko mikononi mwa Mungu...ni vizuri ifanywe juhudi ya kurudi kwa Mungu maana yeye hujua miisho yetu.

No comments:

Post a Comment