Sunday, June 3, 2012

Developing our Commitment

Commitment humtenga dreamer and doer.
Na mara nyingi tumekuwa tukilalamikia maisha yetu hayabadiliki...lakini sababu kubwa ni Commitment haiko katika maisha yetu..kila kila huwa tunafanya kikawaida sana.
Pastor Matthew Sasali aliyasema hayo alipokuwa akihudumu leo katika ibada ya graduation ya USCF tawi la Teofilo Kisanji University.
Lakini akaongeza kuwa huwezi kuwa na Commitment kubwa wakati zipo fursa tunapata za kuonyesha Commitment angalau ndio lakini huwa tunashindwa.
Na kadri tunaposhindwa kwa Commitment ndogo tusitegemee kuweza Commitment kubwa.
Alisema hata Taifa leo ili liweze kubadilika tunahitaji watu walio na Commitment ya kweli.
Mwisho alitoa njia zinazoweza kukuza ama kuboresha Commitment
1....Huanza nyakati za mazingira magumu
2....Ni matokeo ya mtu kuamua binafsi
3....Huanzia kwenye vitu vinavyoonekana ni vidogo vidogo
4....Haiitaji kipawa ama kipaji kuwa na Commitment.